l
Home » » SOMA HAPA CHAT YA MWISHO KATI YA MAREHEMU MANGWEA NA WEMA SEPETU KABLA YA KIFO CHAKE...!!

SOMA HAPA CHAT YA MWISHO KATI YA MAREHEMU MANGWEA NA WEMA SEPETU KABLA YA KIFO CHAKE...!!

Written By Emmanuel Shilatu on Thursday, May 30, 2013 | 10:30 AM


Katika dondoo zetu leo hii tuliweza kupata moja ya chat za mwisho mwisho ya marehemu Albert Mangwea akiwa afrika ya kusini na mwanadada wa bongo movies Wema sepetu. Katika maongezi hayo Ngwea alikuwa anapanga Kumtumia mwadadada mwingine wa bongo movies Kajala Masanja kwenye video yake mpya aliyokuwa anajiandaa kuifanya. Maongezi yao yalikuwa hivi.

Mangwea : kuku bandani..

Mangwea : Nataka Kajala…

Mangwea : Sikiza nyimbo then utanipa idea..

Mangwea : Nataka tukipiga hela kwa bro…

Mangwea : Tulipe na hela ya ticket ya Jux aje toka China tumalize huku kusini

Mangwea : #hugs

Wema Sepetu : Upo api?

Mangwea: Me nipo Pretoria now momo…

(Angalia screen shot ya maongezi hayo pichani)

Dah, inasikitisha sana. Maisha ya Msanii huyu yaliyokatika mapema. Mungu ailaze roho marehemu mahali pema peponi.
Share story hii kupitia>>>>>> :

Post a Comment

 
Support : eddie sucre
Copyright © 2011. JANJARUKA - Haki zote zimehifadhiwa
Blog Designed by Eddie sucre
Proudly powered by Blogger